Mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania
Bara ambae pia alikuwa ni mshambuliaji wa timu ya Yanga Saimon Msuva ametua
Morocco na kusaini mkataba wa miaka 3 kuitumikia timu ya Difaa Al Jadida ambayo
ni makamo bingwa wa nchini Morocco.
Msuva anaungana na Mtanzania
mwenzake Ramadhani Singano katika timu hiyo ambayo Singano alishaanza kuichezea
mchezo wa kirafiki.
Difaa inashiriki ligi ya mabingwa
barani Afrika hivyo tutegemee kuwaona watanzania hawa wakifungua milango ya
mafanikio kwa wachezaji wengine wazawa kupata ulaji nje ya nchi
Millionaire Ads
0 Comment untuk "MSUVA ASAINI MIAKA MITATU ALJADIDA"