Barcelona wametwaa ubingwa wa ligi
ya ICC kituo cha marekani baada ya alfajiri ya leo kuwafunga mahasimu wao
wakubwa katika soka timu ya Real Madrid.
Barcelona wamefikisha pointi 9
katika michezo 3 na hivyo kutwaa kombe hilo.
Magoli ya Barcelona yamefungwa na
Messi 3’ Ivan Rakitic 7, na Gerard Pique 50,
Wakati magoli ya Real Madrid yakifungwa na Mateo Kovacic 14, na Marco
Asensio 36’.
Mchezaji bora wa mchezo alikuwa ni Gerard
Pique.
Matokeo mengine:
Manchester City 3–0 Tottenham
Hotspur
Stones Goal 10'
Sterling Goal 72'
Díaz Goal 90+1
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Barcelona kidume Miami Elclassico, yaitandika Real Madrid 3 – 2, na kutwaa kikombe"