Mtanzania anaekipiga katika ligi kuu
ya nchini Ubeligiji Mbwana Ally Samatta(24), anazidi kuwa na thamani kubwa na
amefikia kiasi cha € 300 million.
Samatta amezidiwa na baadhi ya
wachezaji ambao thamani yao ni € 350 million.
Kwa mujibu wa tovuti ya KRC GENK
thamani ya Samatta inapanda tangu alipojiunga na Genk.
Angalia grafu ya Samatta hapo
chini>>>>
Takwimu za magoli tangu ajiunge na
Genk mwaka 2016 zinaonyesha kuwa Samatta amecheza michezo 77 na kufunga jumla
ya magoli 26 huku akitengeneza mengine 8.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Bei ya Samatta kwa sasa timu ikimuhitaji hii hapa"