Beki aliyeichezea mechi zote za
COSAFA timu ya Taifa ya Tanzania taifa Stars Salum Mbonde ametua simba kwa
mkataba wa miaka miwili leo jumapili July 9, 2017.
Mbonde ambae alikuwa na timu ya
taifa Afrika Kusini kwenye michuano ya COSAFA ambapo timu ya Tanzania imetwaa
nafasi ya tatu, Stars imewasili jana na simba wamefanikisha usajili huo.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Beki makini wa Taifa stars atua msimbazi asaini miaka miwili"