Majina sita kati ya kumi ya
wanaogombea urais wa shirikisho la soka nchini TFF yametangazwa na majina
mengine 4 yameondolewa katika kinyang’anyiro hicho cha urais.
Majina yalipitishwa kuwania urais
ni:
1
Imani
Madega
2
Fredrick
Mwakalebela
3
Shija
Richard
4
Emmanuel
Kimbe
5
Wallace
Karia
6
Ally
Mayai
Majina yaliyoondolewa kwa sababu
mbalimbali ni:
1
Jamal
Malinzi
2
John
Kijumbe
3
Fredrick
Masolwa
0 Comment untuk "Kamati ya uchaguzi mkuu TFF yapitisha majina, Ally Mayai, Karia ndani Malinzi, Kijumbe nje."