Kila kukicha soka la Tanzania
linazidi kuwavutia wachezaji mbalimbali toka nje ya nchi Kutokana na maslahi
yanayopatikana ndani ya vilab vya Tanzania.
Leo nimeona nikutembeze kidogo uone
viwango vya mishahara wanavyolipwa na watakavyolipwa baadhi ya wachezaji wa
Simba na Yanga.
Tuanze na Simba: Emmanuel
Okwi mshahara wake ni
milioni 6.6 kwa mwezi,
Haruna Niyonzima mshahara wake ni shilingi milioni
6.6 kwa
mwezi,
Jonas Mkude mshahara wake ni shilingi milioni 5
kwa mwezi, Mohamed Hussein’Zimbwe’ mshahara wake ni million 3 kwa
mwezi, John Bocco mshahara wake ni shilingi milioni 2.8 kwa
mwezi,Shiza Kichuya mshahara wake ni shilingi milioni 1.8 kwa
mwezi.
Kwa upande wa Yanga:Donald
Ngoma mshahara wake ni milioni 6.6 kwa mwezi,Amis Tambwe mshahara
wake ni milioni 6.6 kwa mwezi,
Ibrahim Ajib mshahara wake ni milioni 4 kwa mwezi, Gadiel Michael
mshahara wake ni milioni 2.5 kwa mwezi, Raphael Daudi Alpha mshahara
wake ni milioni 2 kwa mwezi, Ninja mshahara wake ni milioni 1
kwa mwezi.
Mishahara hiyo ni kwa mujibu wa gazeti
moja la michezo na burudani nchini la siku ya jumamosi july 8,2017
0 Comment untuk "Je wajua Mishahara ya wachezaji Nyota Simba na Yanga?"