Golikipa wa timu ya African Lyon ya
jijini Dar es salaam Youthe Rostand leo jumapili July 9, 2017 ameingia mkataba
rasmi wa kuidakia timu ya Yanga ya Dar es salaam wana kimya kimya.
Kipa huyo raia wa Cameroon
amechukuliwa huenda kwa ajili ya kuziba pengo la mlinda mlango namba 1 wa Yanga
Deo Munish ‘Dida’ ambae anahusishwa kutimkia Afrika kusini au Singida United.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Kipa namba moja African Lyon atua kwa wazee wa kimya kimya ‘Yanga’"