Kiungo huyo
mkabaji raia wa Kongo anataraji kurejea kwao hapo kesho na kuripoti kambini
wiki ijayo tayari kuanza kutumikia mkataba wake Jangwani.
Mchezaji
huyo jana alifanyiwa vipimo na alifuzu hivyo leo amepewa mkataba rasmi wa
kuitumikia timu ya Yanga.
Kiungo
huyo mkabaji huenda akatibu tatizo la kiungo mkabaji linaloikabili timu ya
Yanga kwa muda mrefu sasa, alihusishwa Jonas Mkude wa timu ya Simba
ikashindikana.
akahusishwa Himid Mao lakini mpaka sasa haijulikani imeishia.
0 Comment untuk "Papy Kabamba Tshishimbi amesaini mkataba wa miaka 2 kuitumikia Yanga SC"