Millionaire  Ads

Ratiba na Msimamo International - Champions Cup: Kituo cha Marekani


kesho july 30 michezo mitatu ya kituo cha marekani itapigwa na huenda ikatengeneza taswira halisi ya kituo hiki cha marekani, mchezo wa kwanza utapigwa usiku wa saa saba mwingine saa tisa na mwingine saa tano usiku wa kuamkia 31.
ratiba kamili hii hapa: 
Manchester City vs Tottenham Hotspur 01:00

Real Madrid vs Barcelona 03: 00

Roma vs Juventus 23:00
Katika Msimamo hapo chini timu yoyote ile ukiondoa Man Utd,Real Madrid na PSG inaweza kukalia kiti cha uongozi baada ya michezo hiyo ya july 30 kupigwa

Cheki Msimamo hapo chini:
Neymar ndie anaeongoza kwa magoli ana goli 3 katika michezo 2 huku T. Muller akiwa na goli 2.
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Ratiba na Msimamo International - Champions Cup: Kituo cha Marekani"

Back To Top