Kapteni wa timu ya Taifa ya Tanzania
Mbwana Ally Samatta kuanzia msimu ujao atavaa jezi namba 10.
Awali Samatta alitamani kuvaa jezi
namba 7 lakini aliikosa pengine Kutokana na ugeni wake ndani ya Genk, hivyo
kuomba kupewa jezi namba 77.
Samatta amekuwa ni mchezaji tegemeo
katika kikosi cha Genk na hivyo atapewa jezi namba 10 ambayo kwa pia huivaa
katika timu ya taifa ya Tanzania.
Jezi namba 10 ni jezi ambayo
huvaliwa na wachezaji nyota duniani.
0 Comment untuk "Samatta apewa jezi namba 10 KRC Genk"