Wachezaji Deus kaseke na Obrey Chirwa wameitwa na
kamati ya nidhamu ya TFF ili kujitetea katika sakata lao la kumsukuma mwamuzi
katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu Tanzania Bara msimu uliomalizika.
Kaseke ambae ni mchezaji wa Singida Utd msimu
uliopita aliitumikia Yanga kabla ya msimu huu kusajiliwa na Singida Utd.
Kaseke tayari yupo
Dar na ameungana na Chirwa kwa ajili ya
kujibu tuhuma zinazowakabili
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Kaseke na chirwa kikaangoni kwenye Kamati ya Nidhamu ya TFF"