Timu iliyopanda
daraja msimu huu kutoka mkoani Iringa timu ya Lipuli inaendelea na harakati
zake za kuimarisha kikosi baada ya kuwanyakuwa wachezaji wazoefu na ligi kuu
Tanzania bara.
Lipuli imemnasa
Husein Sharif ‘Casillas’ toka Kagera Sugar na NOvalty Lufunga toka Simba
Mpaka sasa
lipuli imewanasa baadhi ya wachezaji wazoefu toka timu mbalimbali za ligi kuu,
wachezaji hao ni Malim Busungu, Salum Machaku na Asante Kwasi.
Huu ni
muendelezo mzuri kwa timu zilizopanda daraja msimu huu, kuzamiria kufanya kweli
kwenye ligi kuu ya Vodacom inayotarajiwa kutimua vumbi August 26 mwaka huu.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Lipuli yaibomoa Kagera,pia yanasa beki kitasa wa Simba."