Mwingereza
mwenye asili ya Somalia Mo Farah ameuthibitishia ulimwengu kuwa yeye
habahatishi kwenye mbio za mita 10000 baada ya jana kuwazidi ujanja wanariadha
wa Afrika mashariki.
Mwingereza
huyo amemshinda Joshua Cheptegei wa Uganda alieshika nafasi ya pili na mkenya Paul
Tanui
Mpaka
sasa rekodi ya kutwaa medali nyingi za Dhahabu inashikiliwa na mjamaica Usain
Bolt mwenye medal 11.
Jedwali
linajinyesha:
0 Comment untuk "Mo Farah atetea ubingwa wake wa mita 10000 kwa mara ya 3"