Mrisho Ngassa yupo mbioni kukamilisha dili lake la kuichezea
Yanga SC, taarifa zinasema kuwa Mabingwa hao wa Tanzania watampa Ngassa mkataba
wa mwaka mmoja.
Uuncle leo alionekana mitaa ya jangwani na washabiki walimfuata
na kumshangilia kama mfalme.
Muda
wowote kabla ya saa 5:59 usiku ,Ngassa atatangazwa rasmi kuwa mmoja wa
wachezaji watakaoitumikia Yanga kwa msimu wa 2017/2018
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Uncle Ngasa, huyooooo jangwani ndie mrithi wa msuva "