Shirikisho la mpira wa miguu barani
Afrika CAF kupitia kamati ya
utendaji ya Shirikisho hilo chini ya Rais wa CAF Ahmad Ahmad
wameiondolea uenyeji nchi ya Kenya kuandaa kombe la mataifa ya Afrika kwa
wachezaji wanaocheza ligi za ndani CHAN.
Sababu za kuipoka uenyeji Kenya imeelezwa
kuwa ni kusua sua kwa miundo mbinu ya
viwanja ambapo mpaka sasa kamati imebaini kuwa ni kiwanja kimoja tu ndio
kimekamilika.
Pia suala la kisiasanchini Kenya huenda
pia ikawa ni sababu nyingine ya kamati hiyo kuamua kuinyima uenyeji nchi hiyo.
Nchi ambazo huenda michuano hii
ikahamishiwa ni Afrika Kusini au Morocco
Millionaire Ads
0 Comment untuk " CAF WAINYANG’ANYA KENYA KUANDAA CHAN MWAKANI"