Timu za
mataifa ya ufaransa, Ureno na ubeligi zimefanya mauaji ya kutisha Kuelekea kufuzu
kwa kombe la Dunia katika michezo ya jana usiku.
Matokeo
ni kama inavyoonekana hapo chini rangi ya blue amefunga hat trick
Group
A
Bulgaria
3 - 2 Sweden
France
4 - 0 Netherlands
Magoli
ya France yamefungwa na Antoine Griezmann 14’, Thomas Lemar 73’na 88’, Kylian Mbappe Lottin 90’
Luxembourg
1 - 0 Belarus
Group
B
Hungary
3 - 1 Latvia
Portugal
5 - 1 Faroe Islands
Magoli
ya Portugal yamefungwa na Cristiano Ronaldo 3,29’ P na 65’, William Carvalho 58’,
Nelson Oliveira 84’
Switzerland
3 - 0 Andorra
Group
H
Belgium
9 - 0 Gibraltar
Magoli yamefungwa na Dries Mertens 16’ Thomas Meunie 18’, 61’67’, Romelu Lukaku 21’, 38’, 84’P, Eden Hazard 45’, Axel Witsel 27
Cyprus
3 - 2 Bosnia-Herzegovina
Greece
0 - 0 Estonia
0 Comment untuk "Cristiano Ronaldo, Romelu Lukaku wapiga hat-trick, Thomas Lemar nae yumo apiga mbili"