Mshambuliaji
wa Everton Wayne Rooney, amekamatwa na polisi nchini Uingereza kwa kosa la
kuendesha gari akishukiwa kuwa amelewa.
Rooney
ambae ni mfungaji bora wa miaka yote wa timu ya taifa ya England alikumbwa na
mkasa huo jana alhamisi akiwa karibu na nyumbani kwake huko Cheshire akitokea viwanja na wadau wake.
Rooney ambae amestaafu kuitumikia timu yake ya Taifa akiwa ameifungia magoli 53 katika michezo 119 aliyocheza.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Wayne Rooney ashikiliwa na polisi baada ya kuendesha akiwa amelewa"