leo majira ya saa moja usiku mabingwa wa ligi kuu tanzania bara
timu yanga wanashusha injini zake ndani uwanja wa Chamanzi kumenyena na timu ya
Manispaa ya Kinondoni (KMC).
Mchezo huo ambao ni maalumu kwa
ajili ya kutafta mapato ya ukarabati wa uwanja wa mazoezi wa kilabu ya Yanga.
viingilio katika mchezo huo ni
Tsh 3000 kwa mzunguko na Tsh 5000 kwa VIP.
0 Comment untuk "Kuwaona Chirwa, Tambwe, Tshishimbi Shilingi 3000 Chamanzi leo"