Millionaire  Ads

Paulinho apiga tatu Brazil ikiua 4 -1 kufuzu kombe la Dunia, Amerika



Magoli matatu ya Paulinho katika dakika ya 18, 51 na 90 na moja la Neymar yameiwezesheza timu 



ya taifa ya Brazil kuibuka na ushindi mnono ugenini dhidi ya Uruguay wa goli 4  - 1, goli la Uruguay lilifungwa kwa penati dakika za mwanzoni kabisa 8’.


Mchezo wa jana ni muendelezo wa michezo ya kufuzu kwa kombe la dunia yatakayofanyika nchini Urusi mwakani kwa bara la Amerika.

Michezo mingine iliyopigwa jana na Matokeo yake ni kama inavyoonekana hapo chini:
Uruguay 1 - 4 Brazil
Paraguay 2 - 1 Ecuador
Argentina 1 - 0 Chile

Venezuela 2 - 2 Peru
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk " Paulinho apiga tatu Brazil ikiua 4 -1 kufuzu kombe la Dunia, Amerika"

Back To Top