Mchezaji bora wa Dunia na mshambuliaji hatari wa Real Madrid Christiano Ronaldo huenda akakumbwa na adhabu ya kifungo jela baada ya kusemekana kuwa alikwepa kodi mamilion ya fedha kati ya mwaka 2011 na 2013.
Wizara ya fedha ya Hispania ‘GESTHA’ imeiongezea nguvu idara inayohusika na kodi kumbana Ronaldo.
Ronaldo anadaiwa kiasi kati ya Euro million 8 - 15.
Ronaldo akifanikiwa kuzilipa atakuwa huru na hataenda gerezani.
Chanzo jarida la Marca
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Ronaldo kufungwa jela miaka mitano kwa kukwepa kodi nchini Hispania"