Wadhamini wapya wa Simba na Yanga wameanzisha kombe liitwalo Sport Pesa Super
Cup.
Akizungumza jana mwakilishi wa Sport
pesa Tanzania Abbasi Tarimba amesema kombe hilo jipya litaanza june 5 2017 na
kushiriksha timu nane nne Tanzania na nne Kenya, ligi hiyo itakuwa ya mtoano na
itakuwa katika makundi mawili.
Kundi A timu za yanga, singida
United, Tusker na AFC Leopard
Kundi B Simba, Jang’ombe Boys,Nakuru
na Gor Mahya
Mechi zitakuwa hivi:
Kundi A
Yanga vs Tusker june 5
AFC Leopard vs Singida United june 5
Kundi B:
Simba vs Nakuru june 6
Jang’ombe vs Gormahya june 6
Mshidi katika kila kundi kwa mechi
za awali atacheza na mshindi mwenzie wa kundi hilo hilo ila kupata timu
itakayocheza fainali kwa kila kundi.
Mshindi wa fainali hizo atajibebea
shilingi milioni 66 za Tanzania.
Fainali kufanyika june 11
Michezo yote kufanyika Uwanja wa Uhuru
Mashindano haya ni kwa timu ambazo
zinazaminiwa na Sport Pesa.
Michezo yote itakuwa Live kupitia IPP Media ie ITV,Radio one
nk
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Simba na Yanga kibaruani tena SportPesa SuperCup 2017"