Bodi ya shirikisho la Soka
ulimwenguni ‘International Football Association Board (IFAB)’ imependekeza
kuongeza baadhi ya vifungu ili kutia ladha kwenye mchezo wa soka Duniani.
Mkurugenzi wa ufundi wa bodi hiyo
bwana David Elleray amesema ‘Ni kuhusu kusoma sheria na kuangalia lengo gani
kila mmoja hutumikia’
Sheria ni kama ifuatavyo:
1
Two
halves of 30 minutes
Ø Hakuna kupoteza muda, mchezo utasimama pale tu mpira utakapokuwa
nje ya mchezo.
2
Goal
of punishment
Ø Kutoa goli badala ya penati kama madhabi yatafanyika katika eneo la
penati.
3
Changes
for corner kicks and fouls
Ø Kona na faulo mpigaji anaweza kuucheza tena baada ya kuupiga hata
kama mchezaji mwenzake hajaucheza(anaweza kujianzia mwenyewe).
4
Free-kicks
whilst ball is still moving
Ø Mpira wa adhabu upigwe hata kama haujatulia
5
No
injury time
Ø Mpira utamalizika pale tu muda utakapotimia kama mchezo wa rugby.
6
Penalty,
not free-kicks, for back pass
Ø Golikipa akidaka mpira aliorudishiwa na mchezaji wa timu yake
ipigwe penati badala ya ‘Indirect free kick’
Sheria
zote hizi zitapitiwa kwa mapana yake mapema mwezi march 2018, pale bodi ya FIFA
itakapoketi.
Je wewe
kama mdau wa soka una maoni gani kuhusu mabadiliko haya ya sheria
0 Comment untuk "Sheria 6 mpya za FIFA kuhusu Football Zaja"