Mtanzania anaekipiga katika ligi
daraja la kwanza nchini Hispania Farid Mussa amecheza mchezo wa kirafiki wa
maandalizi ya msimu mpya wa ligi na kuisaidia timu yake kupata ushindi huo.
Magoli ya Tenerife yalifungwa na Juan
Carlos alifunga magoli matatu, Víctor Casadesús na lingine lilifungwa na Brian.
Tenerife wakitumia mfumo wa 4-5-1 na
farid akitokea upande wa kiungo wa kati kulia.
Kikosi kilikuwa hivi: Galván
Carlos Ruiz, Aitor Sanz, S. Camille,L.
Pérez,Javi Alonso,Faridi Musa,Brian Torres,Nadjib,Brian,Víctor Casadesús
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Farid Mussa aongoza mauaji, Tenerife ikiikandamiza S.I. El Hierro 5 – 0"