Millionaire  Ads

Je unawajua wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga mpaka sasa?


Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara ‘wazee wa kimyakimya’ mpaka sasa wamewasajili wachezaji sita kwa lengo la kutetea kombe lao kwa mara ya 4 mfululizo, na michuano ya kimataifa.
Waliosajiliwa mpaka sasa ni:
Ramadhani Kambwili (Serengeti boys)


 Pius Buswita (Mbao FC), 

Rostand Youthe (African Lyon),


 Abdallah Shaibu(Taifa Jang’ombe), Ibrahim Ajib (Simba SC), Burhan Akilimali (huru)

Kuna tetesi kuwa na Raphael Daudi Loth muda 
wowote atatangazwa kuwa mchezaji wa Yanga


 na kiungo toka Congo Papy Kabamba Tshishimbi yeye inategemewa wiki ijayo atamwaga wino Jangwani.


Hao ndio wachezaji waliosajiliwa na Yanga mpaka sasa


Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Je unawajua wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga mpaka sasa?"

Back To Top