Dalili za kiungo wa Chelsea kutimkia
kwenye timu ya Manchester Utd zinazidi kushika kasi na mwenyewe ameonyesha
mapenzi ya waziwazi na timu hiyo.
Leo ameonekana na jezi za mazoezi za
timu ya Manchester Utd na kuna tetesi kuwa mambo ya usajili wake yamekaa vizuri
na muda wowote kuanzia wiki ijayo atakuwa mchezaji wa Manchester Utd kwa
ada inayokadiriwa kuwa £40m.
0 Comment untuk "Picha Za Nemanja Matic Akiwa na jezi za mazoezi za Manchester utd zazagaa mtandaoni"