Kiungo ambae wapenzi na mashabiki wa
yanga walikuwa na shauku ya kuona amemwaga wino jangwani mambo yamekamilika na
tayari amefanya hivyo kwa kandarasi ya miaka 2.
Loth ambae alihusishwa kutakiwa na
vilab mbalimbali nchini Afrika kusini alihitimisha tetesi hizo jana.
Na leo anajiunga na kambi ya Yanga
ambayo ipo Morogoro kwa maandalizi ya ngao ya hisani, ligi kuu na ligi ya
mabingwa.
Awali Loth alikitumikia kikosi cha
Mbeya City, na kumshawishi kocha wa timu ya Taifa Salum Mayanga kumuita kwenye
kikosi chake, na tangu apate nafasi amekuwa mhimili mkubwa katika kikosi hicho
cha Stars.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Raphael Daudi Loth amalizana na Yanga Leo Kutua Kambini Moro"