Mabingwa wa kombe la Shirikisho
nchini timu ya Simba ambao ndio wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya
kombe la shirikisho barani Afrika CAF wameachana na baadhi ya wachezaji wao wa
msimu uliopita kwa sababu mbalimbali ikiwemo mikataba kuisha,kushuka viwango Pamoja
na utovu wa nidhamu.
Wachezaji walioachwa ni hawa
wafuatao: Juma Hamad, Jamali Mnyate, Pastory
Athanas, Novaty Lufunga, Juuko Murshid, Fredrick Blagnon, Jamvier Bokungu
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Wajue wachezaji waliotemwa na Simba kabla ya msimu wa 2017/18 kuanza"