Mmiliki wa timu ya Liverpool Fenway
Sports Group (FSG) amekubali mchezaji wake tegemeo ndani ya Liverpool kujiunga
na Barcelona kwa kitita cha puni million 108.3
Awali Liverpool walikataa dili la
pili toka Barcelona la pauni million 90.
Awali leo kocha wa Liverpool klopp
alisema kuwa Hakuna mchezaji atakaebaki salama Kutokana na dili la Neymar
lakini kwa pesa yoyote countinho hauzwi.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "MMILIKI WA LIVERPOOL FSG AKUBALI KUMUUZA COUNTINHO KWA PAUNI MILION 108.3"