Millionaire  Ads

KAMATI YA TUZO TFF YAWEKWA HADHARANI YUMO IBRAHIM MASUOUD 'MAESTRO'

Rais wa TFF, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara ambayo itakuwa inachagua wachezaji bora wa mwezi, bao bora, mwamuzi bora, kocha, kipa bora na mchezaji bora wa msimu. 

MWENYEKITI: 

Msafiri Mgoyi 

MAKAMU MWENYEKITI

- Almas Kasongo  

 KATIBU MKUU 

-Amiri Mhando

WAJUMBE 

Patrick Kahemele
Kenny Mwaisabula
Fatma Likwata
Gift Macha
Saleh Ally
Said George 
Zena Chande

Ibrahim Masoud  
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "KAMATI YA TUZO TFF YAWEKWA HADHARANI YUMO IBRAHIM MASUOUD 'MAESTRO'"

Back To Top