Mchujo
wa Kuelekea kumpata mchezaji bora Afrika umefanyika na tayari majina matano
yamewekwa hadharani.
Majina
hayo ambayo yametangazwa jana jijini London yapo kama hivi:
Pierre-Emerick
Aubameyang, Naby Keita, Sadio Mane, Victor Moses na Mohamed Salah
Majina
hayo ambayo yametangazwa chini ya jopo la watu mashuhuri kama Arnaud Djoum,
Emanuel Amuneke na Jean Sseninde, tuzo z mchezaji bora wa BBC
zitafanyika Decemba 11 mwaka huu
0 Comment untuk "BBC Top 5 Mchezaji bora Afrika yatajwa Samatta out"