Millionaire  Ads

Samatta ateuliwa kuwania tuzo za mchezaji bora Afrika




Shirikisho la soka barani Afrika Caf limetangaza majina 30 ya wachezaji watakao wania tuzo ya mchezaji bora Afrika.
Miongoni mwa majina hayo yupo pia nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ambae anakipiga katika timu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji.
Kitu kizuri ni kuona majina ya wana Afrika Mashariki yakiwania tuzo hiyo.
Nadhani ni mwanzo mzuri kwa soka la ukanda wa Afrika Mashariki.
Tuzo hizo zitafanyika Accra, Ghana January 4,

“The winner will be decided by votes from the Head Coaches/Technical Directors of the National Associations affiliated to CAF, members of the CAF Technical and Development Committee and a panel of Media Experts.”

Majina hayo 30 ni kama ifuatavyo:

1.    Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)
2. Bertrand Traore (Burkina Faso & Lyon)
3. Cedric Bakambu (DRC & Villareal)
4. Christian Atsu (Ghana & Newcastle)
5. Christian Bassogog (Cameroon & Henan Jianye)
6. Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
7. Eric Bailly (Ivory Coast & Manchester United)
8. Essam El Hadary (Misri & Al Taawoun)
9. Fabrice Ondoa (Cameroon & Sevilla)
10. Fackson Kapumbu (Zambia & Zesco)
11. Jean Michel Seri (Ivory Coast & Nice)
12. Junior Kabananga (DRC & Astana)
13. Karim El Ahmadi (Morocco & Feyenoord)
14. Keita Balde (Senegal & Monaco)
15. Khalid Boutaib (Morocco & Yeni Malatyaspor)
16. Mbwana Samata (Tanzania & Genk)
17. Michael Olunga (Kenya & Girona)
18. Mohamed Salah (Misri & Liverpool)
19. Moussa Marega (Mali & Porto)
20. Naby Keita (Guinea & RB Leipzig)
21. Percy Tau (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)
22. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
23. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
24. Thomas Partey (Ghana & Atletico Madrid)
25. Victor Moses (Nigeria & Chelsea)
26. Vincent Aboubakar (Cameroon & Porto)
27. William Troost-Ekong (Nigeria & Bursaspor)
28. Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
29. Youssef Msakni (Tunisia & Al Duhail)
30. Yves Bissouma (Mali & Lille)

TUZO YA MWANASOKA BORA ANAYECHEZA AFRIKA
1. Achraf Bencharki (Morocco & Wydad Athletic Club)
2. Ahmed Fathi (Misri & Al Ahly)
3. Alkhaly Bangoura (Guinea & Etoile du Sahel)
4. Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)
5. Aristide Bance (Burkina Faso & Al Masry)
6. Ayman Majid (Morocco & FUS Rabat)
7. Aymen Mathlouthi (Tunisia & Etoile du Sahel)
8. Ben Malango (DRC & TP Mazembe)
9. Dean Furman (Africa Kusini & Supersport United)
10. Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
11. Elsamani Saadeldin (Sudan & Al Merreikh)
12. Fackson Kapumbu (Zambia & Zesco)
13. Fawzi Chaouchi (Algeria & MC Alger)
14. Geoffrey Serunkuma (Uganda & KCCA)
15. Jeremy Brockie (New Zealand & Supersport)
16. Junior Ajayi (Nigeria & Al Ahly)
17. Karim Aouadhi (Tunisia & CS Sfaxien)
18. Mohamed Meftah (Algeria & USM Alger)
19. Mohamed Ounnajem (Morocco & Wydad Athletic Club)
20. Muaid Ellafi (Libya & Ahly Tripoli)
21. Nasr Eldin Ahmed (Sudan & Hilal Obeid)
22. Oussama Darfalou (Algeria & USM Alger)
23. Percy Tau (Afrika Kusini & Mamelodi Sundowns)
24. Sabelo Ndzinisa (Swaziland & Mbabane Swallows)
25. Saber Khalifa (Tunisia & Club Africain)
26. Saladin Said (Ethiopia & Saint George)
27. Sylvain Gbohouo (Ivory Coast & TP Mazembe)
28. Tady Etekiama (DRC & AS Vita)
29. Taha Yassine Khenissi (Tunisia & Esperance)
30. Tarek Hamed (Misri & Zamalek)
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment untuk "Samatta ateuliwa kuwania tuzo za mchezaji bora Afrika"

Back To Top