Mchezaji wa kimataifa waUganda
Emmanuel Arnold Okwi amewasili usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa kimataifa
wa mwalimu Julius.
Makamu wa rais wa klabu ya Simba
Godfrey Nyange Kaburu ni mmoja wa wanasimba waliokuwepo katika uwanja Wa Ndege
kumpokea Okwi.
Okwi atakuwa na mazungumzo ya mwisho
na Uongozi kabla ya kusaini mkataba wa Miaka Miwili kuitumikia tena Simba
katika Msimu wa 2017-2018
0 Comment untuk "OKWI ATUA DAR USIKU , KUSAINI MKATABA NA SIMBA"